karibuni sana katika blog hii
danaos shipping co.ltd
Danaoos ni kampuni inayojishughulisha na uajiri wa mabaharia wapya na walokuwa tayari washafanyakazi katika meli.
mabaharia wanaotakiwa wasizidi umri wa miaka 40.
Mabaharia tunaowaajiri lazima wawe na elimu ya ubaharia walisomea katika chuo cha Dar es Salaam Marine Institute (DIM )na wajue lunga ya kiingereza.
Mishahara kwa mabaharia kima cha chini ni dola 500.
Karibuni nyote.